John Aidan Mwaluko Kabudi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Aidan Mwaluko Kabudi ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Uteuzi wa rais kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017