Joe Masiga
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Joseph (Joe) Masiga (anajulikana sana kama JJ Masiga ) ni mwanakandanda wa zamani wa kimataifa wa Kenya na pia mchezaji wa raga. Masiga alicheza kandanda ya klabu katika timu ya AFC Leopards, timu yenye mizizi katika magharibi ya Kenya.[1] Masiga alistaafu kutoka michezo hodari na sasa ni daktari wa meno katika mji mkuu wa Nairobi.
Marejeo [hariri]
- ↑ "Efforts to save Leopards intensify", The Standard, 8 Agosti 2009. Retrieved on 27 Novemba 2009.