Jesca David Kishoa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jesca David Kishoa ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA.

Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017