Jasson Samson Rweikiza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jasson Samson Rweikiza ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Bukoba Vijijini kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017