Jamal Kassim Ali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jamal Ali)

Jamal Kassim Ali (amezaliwa 14 Novemba 1984) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Magomeni kwa miaka 20152020. [1] Amechaguliwa kuwa waziri wa nchi ofisi ya rais fedha na mipango Zanzibar mnamo Novemba 2020.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017