J. Martins

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Martins Okechukwu Justice (amezaliwa mnamo Septemba 29, mwaka 1977), anajulikana sana kwa jina lake la kisanii J. Martins, ni mwanamuziki wa Nigeria, mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa muziki. Anafahamika zaidi kwa wimbo wake wa Oyoyo, Jupa na Good Or Bad.[1][2][3][4][5][6] J. Martins pia anajulikana kwenye wimbo alioshirikishwa na P-Square wimbo wa E No Easy. Pia amewashirikisha Phyno, YCEE, Fally Ipupa, DJ Arafat, Koffi Olomide, Timaya.[7][8][9][10][11]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

J. Martins alizaliwa Onitsha, Jimbo la Anambra, Nigeria, na familia yake ipo katika mji wa Ohafia, Jimbo la Abia.[12]

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

  • Get Serious (wa mwaka 2008)
  • Elevated (wa mwaka 2009)
  • Selah (wa mwaka 2012)
  • Authenthic (wa mwaka 2016)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "J Martins to release fourth Album | Premium Times Nigeria". March 17, 2016.  Check date values in: |date= (help)
  2. "J martins ~ BIOGRAPHY HOME". Iliwekwa mnamo March 28, 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "DOWNLOAD:J.Martins – Ikwusigo?". notjustOk. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-08. Iliwekwa mnamo March 28, 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "New Music: J. Martins – Ikwusigo?". BellaNaija. January 11, 2016. Iliwekwa mnamo March 28, 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  5. "Wizkid Blasts J-Martins Over Broke Comment". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo April 8, 2016. Iliwekwa mnamo March 28, 2016.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  6. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-05-31. Iliwekwa mnamo 2022-05-07. 
  7. The Chef. "MUSIC: J. Martins ft. Phyno & Ycee – Ten Ten". 360Nobs.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-16. Iliwekwa mnamo March 28, 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  8. "J Martins set to release new album". The Nation Nigeria. March 17, 2016. Iliwekwa mnamo March 28, 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  9. Abiola Solanke (March 21, 2016). "J Martins: Singer releases 4th studio album Authentic". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-16. Iliwekwa mnamo March 28, 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  10. Adedayo Showemimo. "J Martins To Drop 4th Album 'Authentic' On March 21 – Nigerian Entertainment Today – Nigeria's Number 1 Entertainment Daily". Nigerian Entertainment Today – Nigeria's Number 1 Entertainment Daily. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-05-10. Iliwekwa mnamo March 28, 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  11. NEWSWATCH TIMES. "J Martins to drop fourth album". Newswatch Times. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo March 29, 2016. Iliwekwa mnamo March 28, 2016.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  12. "Nigerian Artist J Martins Biography, Profile, Music & Life History – Nollywood, Nigeria, News, Celebrity, Gists, Gossips, Entertainment". Iliwekwa mnamo March 28, 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)