Invercargill
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
|
|
|---|---|
Mji wa Invercargill (New Zealand) |
|
|
|
|
| Mkoa | Southland |
| Anwani ya kijiografia | Latitudo: 46°25′5″S - Longitudo: 168°18′6″E |
| Eneo | 491 km² |
| Wakazi | 52,400 (mji pekee) 48,700 (pamoja na rundiko) |
| Msongamano wa watu | watu 106.7 (mji pekee) kwa km² |
| Simu | +64 (nchi), 03 (mji) |
| Mahali | |
Invercargill (Kimaori: Waihōpai) ni mji wa New Zealand mwenye wakazi 52,400 (2010). Iko upande wa kusini wa kisiwa. Eneo lake ni 491 km².
Viungo vya nje [hariri]
- (Kiingereza) Tovuti rasmi
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Invercargill kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |