Nenda kwa yaliyomo

Hafsa Kazinja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hafsa kazinja
Nchi Tanzania
Kazi yake Mwanamuziki

Hafsa Kazinja ni mwanamuziki wa muziki aina ya Zouk kutoka nchini Tanzania.

Anafamika zaidi kwa kibao chake mashuhuri cha Presha, vilevile na Mashallah. Hasfa anatoka katika kikundi cha THT (yaani Tanzania House of Talent) cha mjini Dar es Salaam, Tanzania.[1]

  1. "Hafsa Kazinja au Presha?". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-02-24. Iliwekwa mnamo 2008-09-15.
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hafsa Kazinja kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.