Gwangju
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gwangju (Kikorea: 광주) ni mji nchini Korea Kusini. Ni mji mkubwa wa tano katika nchi wa Korea Kusini. Kuna wakazi 1,415,953 (mwaka 2010). Mji ulianzishwa 57 KK.
Jiografia [hariri]
Eneo lake ni 501.36 km².
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hiyo kuhusu "Gwangju" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Gwangju kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
