Greatman Takit

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Greatman Takit
Amezaliwa5 Oktoba 1992
Kazi yakemwimbaji na mwanamuziki kutoka Nigeria


Greatman Ademola Takit (amezaliwa 5 Oktoba 1992), ni mwimbaji na mwanamuziki kutoka Nigeria.[1][2] pia ni mtunzi wa nyimbo na mchezaji aliyepata umaarufu wa wimbo wake uitwao "kò sí ẹni kankan" mwaka 2011 na pia alitoa EP yake iitwayo "iná" mwaka 2016.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.vanguardngr.com/2022/04/youth-swagger-2022-chidinma-greatman-takit-simeon-douglas-others-storm-calabar/
  2. https://guardian.ng/arts-2/ayo-vincent-to-release-supernatural-ep/
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Greatman Takit kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.