Ghana Dj AWards

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo za Dj nchini Ghana, tuzo za Dj nchini Ghana in tuzo za kila mwaka za DJs.Tuzo hizi zilianzishwa kwa lengo la kutambua na kuheshimu Djs na wasanii wengine walioshawishi muziki wa dansi wa kielectroniki nchini Ghana pamoja na kutambua jitihada zao kukuza maendeleo ya sekta ya muziki nchini Ghana kwa kuzawadia na kusherehekea djs wa redio na klabu ambao walifanya vizuri.[1][2]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Baada ya kuanzishwa mwaka 2011 tukio hili lilenga kuangaza mchango wa Dj nchini Ghana waliotoa mchango wa kusambaza na kutangaza muziki kwa kuucheza kwenye redio na kuzitoa sehemu nyingine ili ziweze kufurahiwa na watu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]