Francis Busungu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Francis Busungu
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 10 Aprili 1991
Mahala pa kuzaliwa    Tanzania
Nafasi anayochezea Mshambuliaji
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Tanzania

* Magoli alioshinda

Francis Busungu (alizaliwa tarehe10 Aprili, 1991) ni mchezaji wa soka wa nchini Tanzania, ambaye anacheza kama mshambuliaji.[1]

Amechezea vilabu mbalimbali nchini Tanzania kama vile Villa Squad (2010 - 2011), Coastal Union S.C. (2011 - 2012), Polisi Morogoro F.C (2012 -2013), Kagera Sugar F.C. (2013 - 2014), JKT Mgambo F.C (2014 - 2015), Young Africans S.C (2015 - 2017) na Lipuli F.C (2018 - 2019).[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. [1] at National-Football-Teams.com
  2. Benjamin Strack-Zimmermann. "Francis Busungu (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-10. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Francis Busungu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.