Fatou Camara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fatou Camara
Nchi Gambia
Kazi yake mtangazaji

Fatoumata Fatu Camara (pia anajulikana kama ‘’’Fatou Camara’’’) ni mtangazaji wa runinga na mwandishi wa habari nchini Gambia.

Maisha ya Awali na Elimu[hariri | hariri chanzo]

Camara ni mtoto wa kike wa Modou Lamin Camara na Fatou Njie. Alisoma shule ya Msingi ya Walemavu wa Ngozi ‘’Albion Primary School’’ na baadae elimu ya kati katika ‘’Gambia High School’’.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Fatu Camara, Author at The Fatu Network". fatunetwork.net (kwa en-US). The Fatu Network. Iliwekwa mnamo 2017-03-17. 
  2. "Gambia: Fatou Camara in Her Own Words". All Africa. 2015-10-06. Iliwekwa mnamo 2020-02-12.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fatou Camara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.