Etighi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Etighi ni ngoma ya Nigeria ambayo ilianzishwa na watu wa Akwa Ibom. Ngoma hiyo inahitaji harakati za mguu na kiuno. Ngoma hiyo inajulikana kote Nigeria na hutumiwa sana na watu wa Waibibio na wa Efik ambapo asili yake ilianza.[1]

Umaarufu[hariri | hariri chanzo]

Ngoma hii imekuwa ikitumiwa katika video za muziki kadhaa nchini Nigeria na kote ulimwenguni. Ngoma hiyo ilipata umaarufu mkubwa wakati Iyanya alipotumia ngoma hiyo katika video yake maarufu ya muziki.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Top Dance Styles in Africa - Africa.com". www.africa.com (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2017-07-24. 
  2. Kimuyu, Hilary. "Nigeria: Iyanya – In Kenya You Feel Like You Are in Europe", The Nation (Nairobi), 2017-06-27. 
  3. "Besides learning the Etighi and Shoki dance, here are a few things Ciara picked up in Nigeria - Ventures Africa", Ventures Africa, 2016-03-02. (en-US)