Esterina Julio Kilasi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Estherina Julio Kilasi)

Esterina Julio Kilasi (amezaliwa tarehe 23 Mei 1957) ni mbunge wa jimbo la Mbarali katika bunge la taifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Esterina Julio Kilasi". 17 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.