Esta é a Nossa Pátria Bem Amada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

"Esta é a Nossa Pátria Bem Amada" ("Hii ni nchi yetu tunayoipenda") ni wimbo wa kitaifa wa Guinea Bisau. Ilitungwa na Amílcar Cabral ikawa wimbo rasmi wakati wa uhuru mwaka 1974. Ilikuwa pia wimbo wa taifa wa Cabo Verde hadi 1996.

Maneno ya Kireno[hariri | hariri chanzo]

Sol, suor e o verde e mar,
Séculos de dor e esperança:
Esta é a terra dos nossos avós!
Fruto das nossas mãos,
Da flor do nosso sangue:
Esta é a nossa pátria amada.
KIITIKIO:
Viva a pátria gloriosa!
Floriu nos céus a bandeira da luta.
Avante, contra o jugo estrangeiro!
Nós vamos construir
Na pátria immortal
A paz e o progresso!
Nós vamos construir
Na pátria imortal
A paz e o progresso! paz e o progresso!
Ramos do mesmo tronco,
Olhos na mesma luz:
Esta é a força da nossa união!
Cantem o mar e a terra
A madrugada e o sol
Que a nossa luta fecundou.
KIITIKIO

Tafsiri[hariri | hariri chanzo]

Jua, jasho na bahari ya kijani,
Karne za maumivu na matumaini;
Hii ni nchi ya babu zetu.
Tunda la mikono yetu
ya ua la damu yetu:
Hii ni nchi yetu tunayoipenda.
KIITIKIO:
Nchi yetu idumu milele!
Bendera ya mapambano yetu
Imepepea angani.
Twende dhidi ya mkatale wa kigeni!
Tutajenga
Amani na maendeleo
Katika nchi yetu inayodumu milele!
Amani na maendeleo
Katika nchi yetu inayodumu milele!
Matawi ya shina moja,
Macho yenye nuru moja,
Hii ni nguvi ya umoja wetu!
Bahari na bara,
Alfajiri na jua huimba pamoja:
Mapambano yetu yamezaa matunda!
KIITIKIO

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]