Eric Bassler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eric S. Bassler ni mwanasiasa wa Marekani na mshauri wa kifedha akihudumu kama mwanachama wa bunge la seneti ya Indiana kutoka wilaya ya 39. Alitwaa ofisi Novemba 5, 2014.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Bassler alizaliwa na kukulia Washington, Indiana. Alitunukiwa shahada ya kwanza ya sanaa ya Chemia na saikolojia and shahada ya uzamili ya uchumi kutoka Chuo kikuu cha Indiana Bloomington.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eric Bassler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. https://www.indianasenaterepublicans.com//bassler