Duitara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jessie Ashley

Duitara (inajulikana kama Ka Duitara) ni ala ya muziki yenye nyuzi nne ya Khasi na Jaintia ya Meghalaya ambayo inafanana na gitaa. Neno hili linaonekana kuwa sawa na ala ya dotara inayochezwa katika majimbo jirani ya Assam na West Bengal.

Duitara ina mbao ngumu zenye nguvu na  imezungukwa na  ngozi ya mnyama iliyokaushwa, na sehemu yake ya mbele ina matundu manne mwishoni ambayo vigingi vya mbao hushikilia nyuzi kwa ajili ya kutoa sauti. Nyuzi  hizo zimetengenezwa kwa hariri ya 'muga'.

Mwanamuziki wa taarabu Skendrowell Syiemlieh alikuwa msanii mahiri wa chombo hiki.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://en.wikipedia.org/wiki/Duitara?action=edit#
  2. Dilip Ranjan Barthakur, The Music and Musical Instruments of North Eastern India (New Delhi: Mittal Publications, 2003), 53