Diversion of Love

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Diversion of Love

Posta ya Diversion of Love
Imeongozwa na William Mtitu
Imetayarishwa na 5 Effects Movies
Imetungwa na Nicolaus Mtitu
Nyota Lucy Komba
Yusuph Mlela
Irene Uwoya
Wasiwasi Mwabulambo
Ahmedi Olotu
Denis Ngakongwa
Imehaririwa na John Kalaghe
Imesambazwa na Steps Entertainment
Imetolewa tar. 2006
Nchi Tanzania
Lugha Kiswahili

'Diversion of Love ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2006 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Lucy Komba, Yusuph Mlela, Irene Uwoya, Wasiwasi Mwabulambo, Ahmedi Olotu na Denis Ngakongwa. Filamu inahusu misukosuko katika ndoa. Jane (Lucy Komba) na James (Mlela) walikula kiapo cha ndoa kutoacha hadi kifo. Lakini baadaye yanatokea matatizo na mambo kwenda ndivyo sivyo.[1] Filamu ni utunzi wake Nicolaus Mtitu, huku dialojia ikiandikwa na Kulwa Kikumba, picha na mhariri ni John Kalaghe, na kutayarishwa na 5 Effects Movies. Imeongozwa na Mtitu Game.


Washiriki[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Diversion of Love katika tovuti y" Archived 9 Januari 2017 at the Wayback Machine. Bongo Cinema.com
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diversion of Love kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.