Desderius John Mipata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Desderius John Mipata ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Nkasi Kusini kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017