David Richard Boyd

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

David Richard Boyd ni mwanasheria na mbobezi wa mazingira nchini Canada, mwanaharakati, na mwanadiplomasia. Yeye ni Ripota Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu na mazingira.Kazi yake imejumuisha kutumikia kama mkurugenzi mtendaji wa Ecojustice, kufika mbele ya Mahakama Kuu ya Canada, na kufanya kazi kama mshauri maalum juu ya uendelevu kwa Waziri Mkuu wa Canada Paul Martin.[1]


Kazi[hariri | hariri chanzo]

Aliunga mkono makubaliano ya Escazu. Aliunga mkono mashtaka ya Jakarta Clean Air. Alitoa wito kwa nchi kugharamia miundombinu ya makaa ya mawe. Yeye ni mfuasi wa kampeni ya #1Planet1Right. Aliidhinisha kulaaniwa kwa mauaji ya Nacilio Macario. Aliwasilisha ripoti kuhusu uhaba wa maji kwa Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa[1][2]

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Alihitimu katika Chuo Kikuu cha Alberta, na Chuo Kikuu cha Toronto. Alikuwa mkurugenzi mkuu wa Ecojustice Kana Anafundisha katika Chuo Kikuu cha British [[Columbia, South Carolina|Columbia]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "David R. Boyd, Special Rapporteur on human rights and the environment". ohchr.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-02-07.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  2. Foundation, Thomson Reuters. "Can a treaty stop Latin American activists being killed?". news.trust.org. Iliwekwa mnamo 2021-05-25. 


Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David Richard Boyd kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.