Danjuma Ademola Kuti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Danjuma Ademola Kuti (amezaliwa 25 Juni 1998) ni mchezaji wa kandanda wa Nigeria ambaye anacheza kama mshambuliaji wa Accra Hearts of Oak, Klabu ya Ligi Kuu ya Ghana

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Danjuma Ademola Kuti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.