Daegu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daegu (Kikorea: 대구) ni mji nchini Korea Kusini. Ni mji mkubwa wa nne katika nchi wa Korea Kusini. Kuna wakazi 2,512,604 (mwaka 2009).
[hariri] Jiografia
Eneo lake ni 884.15 km².
[hariri] Viungo vya nje
| Makala hiyo kuhusu "Daegu" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Daegu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
]]
