Clemento Suarez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Clement Ashiteye, anayejulikana kama Clemento Suarez, ni mchekeshaji na mwigizaji kutoka Ghana. [1]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Clemento Suarez alizaliwa Tema ; baba yake ni Victor Tetteh wa Teshie. Alisoma elimu ya msingi kwenye Shule ya Wazazi ya Vichrist, Shule ya Upili ya Bethel Junior, na kuendelea hadi Shule ya Sekondari ya Tema . Elimu yake ya juu ya Sanaa ya Maonyesho aliipata katika Chuo Kikuu cha Ghana huko Legon ambako alihitimu mwaka wa 2010. [2]

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Ameoa Sylvia Bioh. [3] [4] [5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "5 things you didn't know about comic actor Clemento Suarez". Ghana Weekend (kwa en-US). 2019-05-28. Iliwekwa mnamo 2019-10-12. 
  2. "Clemento Suarez: Comedy makes me feel like superman". Graphic Online (kwa en-gb). 2018-05-04. Iliwekwa mnamo 2019-10-12. 
  3. "Comedian Clemento Suarez marries long time love". Graphic Online (kwa en-gb). Iliwekwa mnamo 2021-10-18. 
  4. "Fans react to Clemento Suarez wedding photos - MyJoyOnline.com". www.myjoyonline.com (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2021-10-18. 
  5. Bonney, Abigail (2020-10-26). "Clemento Suarez ties knot? [Photos]". Adomonline.com (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2021-10-18. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Clemento Suarez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.