Chyulu Hills

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chyulu Hills ni safu ya volkeno ya kale yenye urefu wa km 100 na kimo cha mita 2,188 juu ya UB.

Volkeno hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Makueni.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]