Chuo Kikuu cha Makumira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chuo Kikuu cha Makumira (MUCo) ni tawi kongwe zaidi la Chuo Kikuu cha Tumaini,[1] kilichopo katika mji mdogo wa Makumira, katika Kata ya Poli, Mkoa wa Arusha, Tanzania. Nafasi yake katika mwaka 2017 kwenye Webometric ya Vyuo Vikuu vya Dunia kwa Tanzania ni nafasi ya 21.[2][3]

Matawi ya Chuo[hariri | hariri chanzo]

Chuo Kikuu kina Wawakilishi watano na vituo vya mafunzo:[4]

  1. Chuo Kikuu cha Tiba Kilimanjaro (KCMUCo)
  2. Chuo kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCo) Archived 14 Agosti 2021 at the Wayback Machine.
  3. Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Stephano Moshi (SMMUCo)
  4. Chuo kikuu cha Josiah Kibira (JoKUCo) Archived 7 Mei 2021 at the Wayback Machine. Kilizinduliwa Januari 2013
  5. TUMA-Mbeya Centre

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Register of Universities" (PDF). Tanzania Commission for Universities. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 September 2015. Iliwekwa mnamo 15 July 2013.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Tanzania, United Republic of | Ranking Web of Universities". Webometrics.info. January 2017. Iliwekwa mnamo 2017-04-09.  Check date values in: |date= (help)
  3. "Makumira University". 
  4. "Evangelical Luthern Church in Tanzania – Tumaini University". ELCT. Iliwekwa mnamo 2017-04-09.