Nenda kwa yaliyomo

Chemba (Chemba)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Chemba (Kondoa))

Chemba ni kata ya Wilaya ya Chemba katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania, yenye postikodi namba 41801[1]. Chemba imekuwa makao makuu ya wilaya mpya mnamo Machi 2012.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 9,730 [2]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 16,047 [3] waishio humo.

Baadhi ya vijiji vya kata ya Chemba vyenye shule ya msingi vilikuwa Chemba yenyewe, Chambalo, Kambi ya Nyasa, Kidoka, Ombiri na Pangalua kwasasa pia kuna shule ya msingi muungano ambayo ipo ombiri.

  1. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-10-08.
  2. https://www.nbs.go.tz
  3. "Sensa ya 2012, Dodoma - Chemba DC" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-05-18.
Kata za Wilaya ya Chemba - Mkoa wa Dodoma - Tanzania

Babayu | Chandama | Chemba | Churuku | Dalai | Farkwa | Goima | Gwandi | Jangalo | Kidoka | Kimaha | Kinyamsindo | Kwamtoro | Lahoda | Lalta | Makorongo | Mondo | Mpendo | Mrijo | Msaada | Ovada | Paranga | Sanzawa | Songolo | Soya | Tumbakose


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chemba (Chemba) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.