Goima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kata ya Goima
Nchi Tanzania
Mkoa Dodoma
Wilaya Kondoa
Idadi ya wakazi
 - Mji 20,309

Goima ni jina la kata ya Wilaya ya Kondoa katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 20,309 waishio humo. [1] Baadhi ya vijiji vya kata ya Goima vyenye shule ya msingi ni Goima yenyewe, Jenjeluse, Hamai, Igunga, Madaha, Makamaka, Mirambo na Songolo. Asilimia kubwa za wakazi wa kata ya Goima ni Waburunge ingawa Warangi wameanza kuhamia Goima kwa wengi.

Marejeo [hariri]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Kondoa - Mkoa wa Dodoma - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bereko | Bumbuta | Busi | Chandama | Changaa | Chemba | Dalai | Farkwa | Goima | Gwandi | Haubi | Jangalo | Kalamba | Kikilo | Kikore | Kingale | Kisese | Kolo | Kondoa Mjini | Kwadelo | Kwamtoro | Lalta | Makorongo | Masange | Mnenia | Mondo | Mpendo | Mrijo | Ovada | Pahi | Paranga | Sanzawa | Soera | Suruke | Thawi


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Goima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.