Chemba (Kondoa)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Chemba)
| Kata ya Chemba | |
| Nchi | Tanzania |
|---|---|
| Mkoa | Dodoma |
| Wilaya | Chemba |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 11,831 |
Chemba ni jina la makao makuu ya Wilaya ya Chemba katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11,831, wengi wao wakiwa Warangi na Waburunge. . [1]
Baadhi ya vijiji vya kata ya Chemba vyenye shule ya msingi vilikuwa Chemba yenyewe, Chambalo, Kambi ya Nyasa, Kidoka, Ombiri na Pangalua kwasasa pia kuna shule ya msingi muungano ambayo ipo ombiri.
Chemba imekuwa wilaya mpya mnamo Machi 2012.
Marejeo[hariri]
- ↑ Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002 (en). Serikali ya Tanzania.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Chemba (Kondoa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |