Charlotte Kisimba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Charlotte Kisimba ni mwanasiasa wa Jamhuri ya Kongo. Alihudumu kama Waziri wa Utumishi wa Umma mwaka 1970.[1] Alikuwa mwanamke Waziri wa kwanza wa baraza la mawaziri katika Jamhuri ya Kongo.


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Congo-Brazzaville Ministers". 
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charlotte Kisimba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.