Carol Ruckdeschel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Carol Ruckdeschel ni mwanabiolojia, mwanaasilia, mwanaharakati wa mazingira[1] na mwandishi. Kama mkazi wa Kisiwa cha Cumberland, alihusika katika uundaji na uhifadhi wa Pwani ya Kitaifa ya Kisiwa cha Cumberland.[2][3][4] Ni mada wa kitabu Untamed: The Wildest Woman in America and the Fight for Cumberland Island cha Will Harlan.

Ametafiti kasa wa baharini[5] na spishi zilizo hatarini kutoweka karibu na pwani ya Georgia.[6]

Makazi yake katika sehemu ya kaskazini ya Kisiwa cha Cumberland kwa sasa yanamilikiwa na National Park Service, kwa masharti ya kubaki huko hadi kifo chake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. McPhee, John. "Travels in Georgia", April 28, 1973. Retrieved on September 23, 2014. 
  2. Dilsaver, Lary M. (2004). Cumberland Island National Seashore: A History of Conservation Conflict. University of Virginia Press. ku. 128–. ISBN 9780813922683. Iliwekwa mnamo September 23, 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. Harlan, Will (2014). Untamed: the wildest woman in America and the fight for Cumberland Island (toleo la First). New York: Grove Press. ISBN 9780802122582. 
  4. Blqackmun, Susie. "The Naturalist For 16 Hours A Day, Seven Days A Week, Biologist Carol Ruckdeschel Lives Breathes, Studies And Defends A Tiny Barrier Island Just Over The Florida Border. It's Not Just A Job, It's A Way Of Life That She Has Followed For Nearly 20 Years", June 9, 1991. Retrieved on April 19, 2015. 
  5. Sea Turtles of the Atlantic and Gulf Coasts of the United States. Carol Ruckdeschel. 2006
  6. "History, Travel, Arts, Science, People, Places – Smithsonian". Smithsonianmag.com. Iliwekwa mnamo November 26, 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carol Ruckdeschel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.