Borås
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Borås ni mji nchini Uswidi. Mji ulianzishwa 1622. Kuna wakazi 63,441 (mwaka 2005).
[hariri] Jiografia
Eneo lake ni 24.99 km².
[hariri] Viungo vya nje
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Borås kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |