Bongo kuu (kompyuta)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

CPU ya Intel

Bongo kuu (pia: CPU, kifupi cha Kiingereza "central processing unit") ni sehemu muhimu ndani ya tarakilishi.

Ni kweli bongo la mashine kwa sababu kila sehemu ya tarakilishi inahitaji CPU kwa njia fulani ikitekeleza shughuli zake.

Ina sehemu tatu ambazo ni muhimu kwa utenda kazi wake. Nazo ni: 1.Arithmetic Logic Unit(ALU)- 2.Control Unit 3.MainMemory

Science-symbol-2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bongo kuu (kompyuta) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.