Bismark Idan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bismark Idan (amezaliwa 10 Agosti 1989) ni mchezaji wa soka kutoka Ghana ambaye anacheza kwa klabu ya Al Khartoum katika Ligi Kuu ya Sudan kama mshambuliaji.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.footballdatabase.eu/football.joueurs.bismark.idan.109081.en.html footballdatabase.eu
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bismark Idan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.