Bihanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani eneo la Uganda
majira nukta (0°04'40.0"N, 30°36'35.0"E (latitudo:0.077778; longitudo:30.609722))

Bihanga ni kijiji katika wilaya ya Ibanda, mkoa wa Magharibi mwa Uganda.[1] ni eneo la makao makuu ya Parokia ya Bihanga, kaunti ndogo ya Nyamarebe[2].

Mahali ilipo[hariri | hariri chanzo]

Bihanga ipo takriban kilomita 81 kwa barabara kutokea kaskazini mwa Ibandaambao mji mkubwa katika wilaya ya Ibanda na eneo la makao makuu ya wilaya. [3].Takriban kilomita 154 kutokea kaskazini mwa Mbarara ambao ni mji mkubwa zaidi katika mkoa wa magharibi mwa Uganda.[4] pia ni takriban kilomita 303 kwa barabara kutokea kusini magharibi mwa Kampala mji mkuu wa Uganda na jiji kubwa zaidi nchini Uganda[5].Ikiwa na majira nukta (0°04'40.0"N, 30°36'35.0"E (latitudo:0.077778; longitudo:30.609722)).[6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. National Geospatial-Intelligence Agency (16 July 2018). "Geographical Names: Bihanga, Uganda". Bethesda, Maryland, USA: Geographic.Org Quoting National Geospatial-Intelligence Agency. Iliwekwa mnamo 16 July 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. LCMT.Com (16 July 2018). "Bihanga Parish, Nyamarebe sub-county, Ibanda District, Western Region, Uganda" (Includes A Map). LCMT.Com. Iliwekwa mnamo 16 July 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. Globefeed.com (16 July 2018). "Distance between Ibanda, Uganda and Bihanga, Uganda". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 16 July 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. Globefeed.com (16 July 2018). "Distance between Main Post Office, Mbarara, Uganda and Bihanga, Uganda". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 16 July 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  5. "Distance between Uganda Post Office, Kampala Road, Kampala, Uganda and Bihanga, Uganda". Globefeed.com. 16 July 2018. Iliwekwa mnamo 16 July 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  6. Kigezo:Google maps