Antonio Nugaz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makala hii inahusu mada au mtu asiyejulikana sana. Kuna mashaka kama mada inastahili kuwa na makala katika kamusi. Onyo hili linaweza kuwekwa pia kama makala haionyeshi umaarufu, hata kama upo.

Watumiaji wanaombwa kushiriki katika majadiliano kama makala hii inafaa kubaki au la. Tazama:Wikipedia:Umaarufu

Unaweza kuondoa kigezo hiki kama majadiliano yametokea na washiriki walipatana.

Juma Khatib Nugaz "Antonio Nugaz" (Amezaliwa Tarehe 10 Oktoba 1983, Tanga) Ni mtangazaji wa televisheni na radio, kwa sasa ni Afisa uhamasishaji na ushirikiano/uhusioano wa Mashabiki katika klabu ya mpira wa miguu kutoka Tanzania.[1]


Antonio Nugaz
Amezaliwa Juma Khatib Nugaz
Nugaz
10 Oktoba 1983
Tanga
Nchi Tanzania
Anafahamika kwa Muasisi wa Harakati za Mtembezi
Kazi yake Mtangazaji Tv & Redio
Kazi maarufu Young Africans S.c


Nugaz ni miongoni mwa watu walio mashuhuri na wenye ushawishi mkubwa kwa watangazaji wa Televisheni na Redio, Tanzania na Afrika-mashariki kwa ujumla. [2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nugaz: Yanga SC Communications Officer promises fans entertainment against Simba SC | Goal.com". www.goal.com. Iliwekwa mnamo 2021-01-20. 
  2. "Mpira sio Chumvi, mashabiki tulieni - Antonio Nugaz (+Video)". Bongo5.com (kwa en-US). 2020-06-23. Iliwekwa mnamo 2021-01-20.