Amina Iddi Mabrouk

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Amina Iddi Mabrouk ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha Mapinduzi CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017