Aliyu Yau Adam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aliyu Yau Adam (alizaliwa 7 Mei 2000) ni kiungo wa kandanda wa Nigeria ambaye anachezea klabu ya Bnei Yehuda.Adam Alikuwa mshiriki wa kikosi cha Kombe la Mataifa ya Afrika nakufanya kazi vizuri tu japo alikuwa U-23 2019.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aliyu Yau Adam kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.