Akor Adams

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Akor Jerome Adams (aliyezaliwa 29 Januari 2000) ni mchezaji wa soka wa kitaalamu kutoka Nigeria anayeshiriki kama mshambuliaji katika klabu ya Lillestrøm katika ligi ya Eliteserien.


Maisha ya Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Adams alishiriki kwa timu ya chini ya miaka 20 ya Nigeria (Nigeria under-20) katika Kombe la Dunia la FIFA la U-20 mwaka wa 2019.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Refist

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Akor Adams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Kigezo:GSA player