Adam Kighoma Malima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Adam Kighoma Ali Malima)

Adam Kighoma Malima (amezaliwa tar. 26 Juni 1966) ni mbunge wa jimbo la Mkuranga katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Adam Kighoma Malima". 21 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011. 

Viungo vya nnje[hariri | hariri chanzo]