Östersund

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mji iliyofunikwa na theluji
Östersund in Sweden.png

Östersund ni mji nchini Uswidi. Kuna wakazi 43,796 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa Karne ya 18. Ni mji mkuu wa jimbo la Jämtland.

[hariri] Jiografia

Eneo lake ni 26.84 km². Iko kando ya Ziwa Frösön.

[hariri] Viungo vya nje

Sverige FlaggKarta.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Östersund kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine