Homa ya mafua : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Homa ya mafua''' ni ugonjwa wa kuambukiza inayojulikana pia kwa majina '''influenza''' na kifupi chake "'''flu'''". Dalili zake zinafanana katika mengi na ...'
 
No edit summary
Mstari 5: Mstari 5:
Virusi inaingia mwilini kupitia [[ngozi kamasi]] za pua, mdomo na jicho. Kwa hiyo inapitishwa kirahisi wakati mgonjwa anakohoa au kupiga chafya. Katika tendo hili matone madogo ya kamasi yenye virusi yanatoka mdomoni au puani na kuelea hewani kwa muda mfupi. Mtu mwingine anayepigwa na matone yale madogo yasiyoonekana kwa macho anaweza kupokea matone kahdaa wakati wa kupumua na kuambukizwa kwa njia hii.

Kuvaa [[gubizi]] ya kitambaa juu ya mdomo na pua inapunguza hatari maana matone mengi yanashikwa na kitambaa wakati wa kukohoa na kinyume mtu asiyeambukizwa analindwa kwa njia hiyo pia. Kunawa mikono mara kwa mara hupunguza hatari ya maambukizi kwa kuwa virusi hufanywa tuli kwa sabuni.<ref name=Jeff2011>{{cite journal |author=Jefferson T, Del Mar CB, Dooley L, et al. |title=Physical interventions to interrupt or reduce the spread of respiratory viruses|journal=Cochrane Database Syst Rev |volume= |issue=7 |pages=CD006207 |year=2011 |pmid=21735402|doi=10.1002/14651858.CD006207.pub4}}</ref> Kuvaa [[kinyago cha upasuaji]] pia ni muhimu.<ref name=Jeff2011/> [[Chanjo ya influenza|uchanjaji dhidi ya influenza]] ya kila mwaka imependekezwa na [[Shirika la Afya Duniani]] kwa walio katika hatari sana.<!-- <ref name=WHO2014/> --> Chanjo hii husaidia dhidi ya aina tatu au nne za influenza.<ref name=WHO2014>{{cite web|title=Influenza (Seasonal) Fact sheet N°211|website=who.int|accessdate=25 November 2014|date=March 2014|url=http://www.who.int/mediacentre/factsheets/fs211/en/}}</ref> Kwa kawaida hustahimilika vyema.<!-- <ref name=WHO2014/> --> Chango iliyotengenezwa ili kutumika kwa mwaka mmoja huenda isitumike katika mwaka ufuatao, kwa kuwa virusi hubadilika haraka.<!-- <ref name=WHO2014/> --> [[Dawa za kupambana na virusi]] kama vile [[kizuio cha neuraminidase]] [[oseltamivir]] miongoni mwa zingine zimetumika kutibu influenza.<ref name=WHO2014/> Manufaa yake kwa walio na afya bora hayaonekani kuwa zaidi ya hatari zake.<ref name=Mich2013>{{cite journal|last=Michiels|first=B|author2=Van Puyenbroeck, K|author3=Verhoeven, V|author4=Vermeire, E|author5=Coenen, S|title=The value of neuraminidase inhibitors for the prevention and treatment of seasonal influenza: a systematic review of systematic reviews.|journal=PLoS ONE|year=2013|volume=8|issue=4|pages=e60348|pmid=23565231|doi=10.1371/journal.pone.0060348|pmc=3614893}}</ref> Hakuna manufaa yaliyopatikana kwa wale walio na matatizo mengine ya kiafya.<ref name=Mich2013/><ref name=Ebe2013>{{cite journal|last=Ebell|first=MH|author2=Call, M |author3=Shinholser, J |title=Effectiveness of oseltamivir in adults: a meta-analysis of published and unpublished clinical trials.|journal=Family practice|date=April 2013|volume=30|issue=2|pages=125–33|pmid=22997224|doi=10.1093/fampra/cms059}}</ref>
Kuvaa [[gubizi]] ya kitambaa juu ya mdomo na pua inapunguza hatari maana matone mengi yanashikwa na kitambaa wakati wa kukohoa na kinyume mtu asiyeambukizwa analindwa kwa njia hiyo pia.

Dalili za homa ya mafua ni pamoja na kikohozi, maumivu shingoni, maumivu ya musuli, maumivu ya kichwa na homa. Wakati mwingine lakini si kwa kawaida kunatokea pia kutapika na kuhara. Homa ya mafua inaweza kudhoofisha mwili na kufungua hivyo mlango kwa magonjwa mengine kama vile mafua kikuu. Hii ni sababu ya kwamba homa ya mafua inaweza kuwa hatari kwa watoto na wazee hasa na kusababisha ugonjwa mkali hadi kifo.

Mstari 15: Mstari 15:
[[Vitamini D]] inasaidia kuimarisha kinga asilia ya mwilini dhidi ya maambukizo.
[[Vitamini D]] inasaidia kuimarisha kinga asilia ya mwilini dhidi ya maambukizo.

==Marejeleo==

<references/>
[[jamii:Magonjwa]]
[[jamii:Magonjwa]]

Pitio la 17:14, 10 Machi 2016

Homa ya mafua ni ugonjwa wa kuambukiza inayojulikana pia kwa majina influenza na kifupi chake "flu". Dalili zake zinafanana katika mengi na mafua ya kawaida lakini ni kali zaidi. Homa ya mafua inasababishwa na virusi ya influenza aina A au B, mara chache pia na aina ya C.

Homa ya mafua inaathiri kila mwaka asilimia 10 hadi 20 za watu duniani.

Virusi inaingia mwilini kupitia ngozi kamasi za pua, mdomo na jicho. Kwa hiyo inapitishwa kirahisi wakati mgonjwa anakohoa au kupiga chafya. Katika tendo hili matone madogo ya kamasi yenye virusi yanatoka mdomoni au puani na kuelea hewani kwa muda mfupi. Mtu mwingine anayepigwa na matone yale madogo yasiyoonekana kwa macho anaweza kupokea matone kahdaa wakati wa kupumua na kuambukizwa kwa njia hii.

Kuvaa gubizi ya kitambaa juu ya mdomo na pua inapunguza hatari maana matone mengi yanashikwa na kitambaa wakati wa kukohoa na kinyume mtu asiyeambukizwa analindwa kwa njia hiyo pia. Kunawa mikono mara kwa mara hupunguza hatari ya maambukizi kwa kuwa virusi hufanywa tuli kwa sabuni.[1] Kuvaa kinyago cha upasuaji pia ni muhimu.[1] uchanjaji dhidi ya influenza ya kila mwaka imependekezwa na Shirika la Afya Duniani kwa walio katika hatari sana. Chanjo hii husaidia dhidi ya aina tatu au nne za influenza.[2] Kwa kawaida hustahimilika vyema. Chango iliyotengenezwa ili kutumika kwa mwaka mmoja huenda isitumike katika mwaka ufuatao, kwa kuwa virusi hubadilika haraka. Dawa za kupambana na virusi kama vile kizuio cha neuraminidase oseltamivir miongoni mwa zingine zimetumika kutibu influenza.[2] Manufaa yake kwa walio na afya bora hayaonekani kuwa zaidi ya hatari zake.[3] Hakuna manufaa yaliyopatikana kwa wale walio na matatizo mengine ya kiafya.[3][4]

Dalili za homa ya mafua ni pamoja na kikohozi, maumivu shingoni, maumivu ya musuli, maumivu ya kichwa na homa. Wakati mwingine lakini si kwa kawaida kunatokea pia kutapika na kuhara. Homa ya mafua inaweza kudhoofisha mwili na kufungua hivyo mlango kwa magonjwa mengine kama vile mafua kikuu. Hii ni sababu ya kwamba homa ya mafua inaweza kuwa hatari kwa watoto na wazee hasa na kusababisha ugonjwa mkali hadi kifo.

Hakuna tiba ya homa ya mafua isipokuwa kupumzika na kuepukana na kazi zote na kusibiri hadi kinga cha mwili kimepambana na virusi. Kuna madawa yanayoweza kupunguza dalili kama homa au maumivu. Siku hizi kuna pia madawa ya antiviral yanayopunguza ukali wa ugonjwa yenyewe bila kuitibu moja kwa moja. Madawa yale yatumiwe tu baada ya kumwona daktari atakayeamua kama yanafaa au yanaweza kuwa hatari kwa mgonjwa.

Tatizo ni hasa ya kwamba virusi ya homa ya mafua inabadilika haraka; hii ni sababu ya kwama watu wengine huambukizwa upya mwaka baada ya mwaka. Hali ya hatari inatokea hasahasa wakati aina ya virusi ya influenza inahamia kutoka wanyama kumwathiri binadamu. Hii inatokea kila baada ya miaka kadhaa na kusababisha vifo.

Vitamini D inasaidia kuimarisha kinga asilia ya mwilini dhidi ya maambukizo.

Marejeleo

  1. 1.0 1.1 Jefferson T, Del Mar CB, Dooley L, et al. (2011). "Physical interventions to interrupt or reduce the spread of respiratory viruses". Cochrane Database Syst Rev (7): CD006207. PMID 21735402. doi:10.1002/14651858.CD006207.pub4. 
  2. 2.0 2.1 "Influenza (Seasonal) Fact sheet N°211". who.int. March 2014. Iliwekwa mnamo 25 November 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. 3.0 3.1 Michiels, B; Van Puyenbroeck, K; Verhoeven, V; Vermeire, E; Coenen, S (2013). "The value of neuraminidase inhibitors for the prevention and treatment of seasonal influenza: a systematic review of systematic reviews.". PLoS ONE 8 (4): e60348. PMC 3614893. PMID 23565231. doi:10.1371/journal.pone.0060348. 
  4. Ebell, MH; Call, M; Shinholser, J (April 2013). "Effectiveness of oseltamivir in adults: a meta-analysis of published and unpublished clinical trials.". Family practice 30 (2): 125–33. PMID 22997224. doi:10.1093/fampra/cms059.  Check date values in: |date= (help)