mkono

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

mkono.

Nomino[hariri]

mkono (wingi mikono)

  1. sehemu ya mwili iliyo ning'inia kwenye mabega na huwezesha mtu kushika vitu na kujikuna

Tafsiri[hariri]