Visiwa vya Turks na Caicos
(Elekezwa kutoka Turks and Caicos Islands)
Visiwa vya Turks na Caicos |
---|
Visiwa vya Turks na Caicos ni funguvisiwa la Karibi ambalo ni eneo la ng'ambo la Uingereza. Visiwa hivyo viko karibu na Bahamas.
Visiwa vya Turks & Caicos[hariri | hariri chanzo]
Grand Turk[hariri | hariri chanzo]
Hiki ni kisiwa kikuu penye uwanja wa ndege na ofisi za serikali.
Providenciales[hariri | hariri chanzo]
Ni kisiwa cha utalii.
West Cay[hariri | hariri chanzo]
Kisiwa kidogo
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Visiwa vya Turks na Caicos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |