Mtumiaji:Mwalughabura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa majina Mwalugha Bura kutoka Kenya. Naipenda Lugha ya Kiswahili. Napenda kuandika kwa lugha hii. Jambo lingine lilifanya nitake kuandika kwa Wikipedia kwa lugha ya Kiswahili ni upungufu wa misamiati iliyounganishwa sahihi au kuanganishwa kabisa kwa lugha hii.