Mtumiaji:MASSHELE

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Emanuel .G. Mashele (masshele)ni Mwandishi wa maudhui mkondoni katika mtandao wa masshele swahili , www.masshele.blogspot.com Pia ni mwandishi wa makala, tamthiliya pamoja na riwaya mbalimbali kwa lugha ya kiswahili. Miongoni kwa riwaya alizoziandika ni "Chozi la fedha haramu" na "nauchukia uchawi" pamoja na Kitabu Cha fursa za kidigitali.