Murasaki Shikibu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Murasaki Shikibu

Amekufa 1025
Kazi yake Mwandishi

Murasaki Shikibu (Kyoto 9781025) alikuwa mwanamkemwandishi na mshairi kutoka nchi ya Japani.

Anajulikana hasa kwa riwaya yake Genji Monogatari (Hekaya ya Genji) iliyotolewa mwaka 1008.

Murasaki Shikibu ni kati ya waandishi wa kwanza wa kike katika historia ya fasihi ya Japani. Baba yake, Fujiwara no Tametoki, alikuwa pia mshairi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Murasaki Shikibu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.