Mohamedi Ali Saidi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mohamed Ali Said)

Mohamedi Ali Saidi (amezaliwa tar. 17 Mei 1959) ni mbunge wa jimbo la Mgogoni katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CUF.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Mohamedi Ali Saidi". 19 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-22. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.