Kiteke-Kukuya
Mandhari
Kiteke-Kukuya ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wateke. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiteke-Kukuya imehesabiwa kuwa watu 38,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiteke-Kukuya iko katika kundi la B70.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikukuya kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikukuya
- lugha ya Kikukuya katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kkw
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiteke-Kukuya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |