Kimmen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kimmen (lugha))

Kimmen ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wammen. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimmen imehesabiwa kuwa watu 35,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimmen iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimmen kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.